Fahamu ukweli kuhusu mfanyikazi wa Boni Khalwale aliyeuawa na ndume wa bosi wake

Mfanyikazi huyo wa miaka 46 alifanya kazi ya kumchungia Khalwale ng'ombe kwa kipindi cha miaka 20

Muhtasari

• Ndume aliyemuua alikuwa na miaka 5 na uzito wa kilo 520.

BONI KHALWALE,
BONI KHALWALE,
Image: HILLARY BETT