Tazama mashindano ya Ulaya ambayo wababe wa EPL watashiriki msimu ujao

Jumla ya timu nane saba zitashiriki katika mashindano mbalimbali ya Ulaya katika msimu wa 2024/25.

Muhtasari

•Licha ya kumaliza katika nafasi ya 8 kwenye EPL, Manchester United ilifuzu kwa Europa baada ya kushinda kombe la FA.

ambayo wababe wa EPL watashiriki msimu ujao.
Mashindano ambayo wababe wa EPL watashiriki msimu ujao.
Image: WILLIAM WANYOIKE