Wakenya maarufu waliokamatwa na kuachiliwa kwa njia tatanishi

Jumapili mchana, mbunge wa zamani wa Nandi Hills Alfred Ketr alikamatwa kwa njia tatanishi jijini Nairobi na watu wasiojulikana na baadae polisi kuthibitisha kuwa ni wao waliomkamata.

Muhtasari

• Wengine ambao wamehusika katika kamata-kamata ya polisi katika kipindi cha wiki mbili zilizopita ni watu maarufu katika jukwaa la X.

• Wengi wao ambao wamekamatwa kwa njia hiyo wamekuwa wakihusishwa na maandamano ya Gen Z dhidi ya mswada wa fedha wa 2024 ulitupiliwa mbali na rais

Image: WILLIAM WANYOIKE