Idadi ya watu ambao wamekufa wakati wa maandamano Kenya

Jumla ya watu 17 wamethibitishwa kufariki katika kaunti ya Nairobi pekee.

Muhtasari

•Takriban watu 39 wamaripotiwa kufariki katika maeneo mbalimbali ya Kenya katika kipindi cha wiki mbili ambazo zimepita.

ya watu ambao wamekufa wakati wa maandamano Kenya
Idadi ya watu ambao wamekufa wakati wa maandamano Kenya
Image: WILLIAM WANYOIKE