Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa maandamano

Chama cha wanasheria nchini Kenya kinawasihi waandamanaji muda wote kuhakikisha wanarekodi matukio yote na sehemu walipo ili kutumika kama ushahidi iwapo watatoweka.