Wabunge ambao wamejitokeza kuomba radhi baada ya kuupigia kura Muswada wa Fedha

Baadhi ya wabunge wamewaomba radhi wapiga kura baada ya kuupigia kura Muswada wa Fedha wa 2024.

Muhtasari

•David Gikaria, Gideon Kimaiyo, John Kiarie na Sarah Korere ni miongoni mwa wabunge ambao wamechukua hatua ya kuomba radhi.

ambao wamejitokeza kuomba radhi.
Wabunge ambao wamejitokeza kuomba radhi.
Image: HILLARY BETT