Fahamu timu za soka za Afrika zitakazoshiriki Paris Olympics 2024

Mashindano ya Olimpiki ya Paris yatang'oa nanga Julai 24 na kukamilika Agosti 10, 2024.

Muhtasari

•Timu nne za wanaume, na mbili za wanawake zitawakilisha bara Afrika katika mashindano ya soka kwenye Olimpiki ya Paris.

za soka za Afrika zitakazoshiriki Paris Olympics 2024
Timu za soka za Afrika zitakazoshiriki Paris Olympics 2024
Image: ROSA MUMANYI