Mapungufu yaliyogundulika katika utoaji wa Hustler Fund yameibua maswali mengi kuliko majibu

Moja ya mapungufu hayo ni kwamba vitambulisho 867 pekee vilitumika kuomba mikopo 1,978 ambayo ilikuwa jumla ya shilingi 477,928.

Muhtasari

• Kati ya bilioni 32 zilizotolewa kama mikopo, mpaka kufikia Juni ya mwaka 2023, zaidi ya shilingi bilioni 10 hazikuwa zimelipwa.

Mapungufu katika utoaji wa mkopo wa Hustler
Mapungufu katika utoaji wa mkopo wa Hustler