Mambo muhimu katika mswada wa IEBC uliotiwa saini na Rais Ruto

Sheria ya IEBC itaanzisha mchakato wa kuwateua makamishna.

Muhtasari

•Sekta mbali mbali zitakuwa na mwakilishi katika jopo la kuteua makamishna wa IEBC.

Mambo muhimu katika mswada wa IEBC
Image: Hillary Bett