Rekodi zilizovunjwa na winga Lamine Yamal mwenye umri wa miaka 16

Yamal alishinda tuzo la mchezaji bora katika mchuano wa nusu fainali kati ya Uhispania na Ufaransa mnamo Julai 9.

Muhtasari

•Yamal alifunga katika mechi ya Uhispania dhidi ya Ufaransa na kuibuka kuwa mchezaji mdogo zaidi kufunga katika Euro.

zilizovunjwa na Lamine Yamal mwenye umri wa miaka 16.
Rekodi zilizovunjwa na Lamine Yamal mwenye umri wa miaka 16.
Image: WILLIAM WANYOIKE