Tazama Wakenya wa kutambulika ambao wamepoteza maisha 2024

Baadhi ya watu ambao wametoa mchango mkubwa nchini Kenya wameaga

Muhtasari

•Jaji wa Mahakama Kuu, David Majanja, alifariki mnamo  Julai 10, katika Hospitali ya Nairobi ambapo alikuwa akipokea matibabu.

wa kutambulika ambao wamepoteza maisha 2024.
Wakenya wa kutambulika ambao wamepoteza maisha 2024.
Image: WILLIAM WANYOIKE