Ukweli kuhusu saratani ya Myeloma nyingi (Multiple Myeloma)

Marehemu Bishop Allan Kiuna alifariki kutokana na ugonjwa huu.

Muhtasari

• Seli za plasma hubadilika kuwa seli za saratani kiasi cha kutoweza kudhibitiwa.

• Seli za saratani huziba seli zinazopambana na maambukizi ya maradhi mbali mbali.

• Ugonjwa huu hutokea mara nyingi kwa wanaume wa asili ya Kiafrika wenye zaidi ya miaka 45.

ROSA MUMANYI
ROSA MUMANYI