Tazama ujumbe wa Kenya kwa michezo ya Olimpiki ya Paris

Mashindano ya Olimpiki yataanza Julai 26 na kukamilika Agosti 11, 2024.

Muhtasari

•Wanariadha 81, makocha 43, wanachama wa kamati ya Olimpiki 5, marefa 3 ni baadhi ya wajumbe ambao watawakilisha Kenya.

wa Kenya kwa michezo ya Olimpiki ya Paris
Ujumbe wa Kenya kwa michezo ya Olimpiki ya Paris
Image: HILDA MWENDE