Tazama matakwa ambayo Raila anataka yatimizwe kabla ya mazungumzo ya kitaifa

Kiongozi wa ODM amesema kwamba haki lazima itangulie kabla ya mazungumzo yoyote.

Muhtasari

•Siku ya Jumapili, kiongozi wa upinzani Raila Odinga alitoa orodha ya matakwa ambayo anataka yatimizwe kabla ya mazungumzo kufanyika.

kabla ya mazungumzo ya kitaifa
Matakwa ya Raila kabla ya mazungumzo ya kitaifa
Image: WILLIAM WANYOIKE