Paul Dybala, Kai Havertz na wanasoka wengine ambao wamefanya harusi Julai 2024

Kai Havertz wa Arsenal na Ujerumani alifunga harusi na mpenziwe Sphia Weber Julai 20 baada ya msimu mrefu wenye chagamoto kisoka kutoka klabuni hadi kwenye ngazi za kitaifa.