Winfred Yavi: Mfahamu kwa undani mwanariadha mzaliwa wa Kenya anayewakilisha Bahrain

Yavi alishinda dhahabu ya mbio za mita 3000 kuruka viunzi kwenye Olimpiki ya Paris.

Muhtasari

•Yavi alihamia Bahrain mwaka wa 2016, akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kukosa nafasi katika timu ya Kenya.

•Licha ya kuwa na utaifa wa Bahrain, mara nyingi Yavi yuko Kenya kwani kuna mazingira bora kwa mazoezi.

Mwanariadha mzaliwa wa Kenya anayewakilisha Bahrain
Winfred Yavi Mwanariadha mzaliwa wa Kenya anayewakilisha Bahrain
Image: WILLIAM WANYOIKE