Fahamu wajibu wa umma katika maandamano

Idara ya polisi imesema maafisa watakuwepo kutoa ulinzi na usalama wakati wa maandamano.

Muhtasari

•Waandamanaji wameagizwa kuarifu mamlaka mapema, kuwa na amani wakati wote, kumaliza maandamano ifikapo saa kumi na moja jioni, miongoni mwa wajibu mwingine.

wa umma katika maandamano.
Wajibu wa umma katika maandamano.
Image: WILLIAM WANYOIKE