Gen Sisi: Wasanii waliotumbuiza kwenye tamasha la siku ya kimataifa ya vijana

Tamasha hilo liliandaliwa na msanii Juliani Jumapili Aosti 11 katika kituo cha kuegesha magari cha Greenpark Terminus.

Muhtasari

• Tamasha hilo lilishuhudia wasanii kutoka tasnia ya sekula na injili wakitumbuiza mbele ya umati.

GEN SISI
GEN SISI
Image: HILLARY BETT