Tazama matokeo ya mataifa ya Afrika katika Olimpiki ya Paris

Kenya ilivuna medali nyingi katika Michezo ya Olimpiki (11) kuliko nchi nyingine yoyote ya Afrika.

Muhtasari

•Nigeria, Tanzania, Ghana, Cameroon ni miongoni mwa nchi za Afrika maarufu kwa michezo ambazo hazikupata medali yoyote.

ya Afrika katika Olimpiki ya Paris.
Matokeo ya mataifa ya Afrika katika Olimpiki ya Paris.
Image: WILLIAM WANYOIKE