Safari ya Kenya kwenye mashindano ya Olimpiki kati ya 2000-2024

Mashindano ya Olimpiki ya 2008 jijini Beijing Uchina yanasalia kuwa yenye mafanikio makubwa kwa Kenya ambapo tulijishindia jumla ya medali 16, 6 zikiwa za dhahabu, 4 za fedha na 6 za shaba.

Muhtasari

• Makala ya mwaka huu jijini Paris Ufaransa Kenya ilishinda jumla ya medali 11, 4 zikiwa za dhahabu, 2 za fedha na 5 za shaba.

OLIMPIKI
OLIMPIKI