Wakenya wanaotamba kwenye YouTube na subscribers zaidi ya milioni 1

Daniel Ndambuki maarufu kama Churchill ndiye anayeongoza kwa Wakenya wenye subscribers wengi katika YouTube, akiwa na wafuasi milioni 2.37.