Luka Modric: Orodha ya mataji amevuna mpaka sasa katika miaka yake 12 Real Madrid

Modric aliondoka Tottenham Hotspurs mwaka wa 2012 baada ya kuwachezea miaka 4 bila kushinda taji lolote. Miaka 12 katika jezi ya Real Madrid, Modric anaibuka kuwa mchezaji mwenye mataji mengi katika historia ya klabu hiyo.