Faida na hasara za mji kupandishwa hadhi na kuwa jiji, Eldoret likijiunga na majiji mengine

Jiji huja na faida za kuboreshwa kwa huduma mbalimbali lakini hili pia huja na majukumu mengine kama kupandishwa kwa ushuru, tozo na hata kodi za nyumba pamoja na kuongezeka kwa uchafuzi wa mazingira.

Muhtasari

• Bei ya ardhi itapanda maradufu huku pia ada za maegesho ya magari na kodi za nyumba zikiongezeka.

• Kwa upande mwingine, hii itakuwa fursa nzuri ya ajira kufunguka kwani makampuni mengi yatafungua viwanda vyao hapo.

FAIDA NA HASARA ZA KUWA JIJI
FAIDA NA HASARA ZA KUWA JIJI
Image: WILLIAM WANYOIKE
FAIDA NA HASARA ZA MJI KUWA JIJI
FAIDA NA HASARA ZA MJI KUWA JIJI
Image: WILLIAM WANYOIKE