Wachezaji wa vilabu vikubwa EPL waliokosa mechi za ufunguzi wa msimu kutokana na majeraha

Wachezaji Reece James wa Chelsea na Luke Shaw wa Man Utd ni miongoni mwa wale ambao wamekosa mechi nyingi za timu zao kutokana na majeraha ya mara kwa mara.

Muhtasari

• Sajili mpya wa Man Utd Leny Yoro aliumia na atakuwa nje kwa zaidi ya wiki tatu kutokana na jeraha la kifundo cha mguu.

WACHEZAJI WALIOKOSA MSIMU KISA MAJERAHA
WACHEZAJI WALIOKOSA MSIMU KISA MAJERAHA
Image: ROSA MUMANYI