Magavana ambao kutimuliwa kwao ofisini na MCAs kulidumishwa na bunge la seneti

Tangu ujio wa ugatuzi mwaka 2013, gavana wa kwanza kupitia kwenye moto wa kubanduliwa alikuwa Martin Wambora ambaye MCA walimtupa nje na seneti kudumisha uamuzi huo lakini mahakama ikamrejesha ofisini.

Muhtasari

• Gavana wa Meru Kawira Mwangaza amekuwa akipitia masaibu kama yale yaliyomkuta gavana wa kwanza wa Embu Martin Wambora.

• Mwangaza aliokolewa na seneti mara 2 lakini mara ya 3 seneti ilidumisha uamuzi wa bunge la kaunti ya Meru kumbandua ofisini.

Magavana kutimuliwa ofisini,
Magavana kutimuliwa ofisini,
Image: WILLIAM WANYOIKE