Arsenal na Man Utd zatupwa nje UEFA ikiorodhesha vilabu bora vya soka kwa mwaka 2024

Licha ya kusuasua katika miaka ya hivi karibuni, klabu ya Chelsea bado ilijinafasi katika nafasi ya 9 huku Arsenal na Man Utd wakitupwa nje ya kumi bora.

Muhtasari

• Ligi ya EPL inawakilishwa na vilabu vitatu, Man City katika nafasi ya kwanza, Liverpool katika nafasi ya nne na Chelsea katika nafasi ya 9.

VILABU VYA EPL VYENYE THAMANI KUBWA
VILABU VYA EPL VYENYE THAMANI KUBWA