Kawira Mwangaza: Mfahamu zaidi gavana wa Meru anayekabiliwa na masaibu ya kubanduliwa

Gavana huyo ambaye pia ni askofu amekumbana na matatizo mengi mno katika miaka miwili tu ya kwanza ya uongozi wake.

Muhtasari

•Seneti ya Kenya iliunga mkono kubanduliwa kwake siku ya Jumanne usiku katika jaribio la tatu la kumtoa afisini.

•Aliwahi kubanduliwa tena na wajumbe wa kaunti mara mbili lakini akapewa afueni na Seneti.

Gavana wa Meru aliyebanduliwa ni nani?
Kawira Mwangaza: Gavana wa Meru aliyebanduliwa ni nani?
Image: ROSA MUMANYI