Fahamu jinsi ya kujikinga dhidi ya ugonjwa wa M-pox

Kenya imeripoti kisa kimoja cha homa ya nyani (M-pox), huku baadhi ya nchi jirani zikithibitisha visa kadhaa.

Muhtasari

•Ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vya monkeypox. Unaweza kusababisha upele wenye uchungu, kufura, na homa. 

ya kujikinga dhidi ya M-pox
Jinsi ya kujikinga dhidi ya M-pox
Image: WILLIAM WANYOIKE