Tazama safari ya kisiasa ya mgombea uenyekiti wa AUC, Raila Odinga

Raila alizindua kampeni ya kuwania Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika mnamo Agosti 28, 2024

Muhtasari

•Safari ya kisiasa ya Raila Odinga ya takriban miongo minne imejawa na matukio huku akiwa ameshikilia nyadhifa kadhaa nchini Kenya.

Image: ROSA MUMANYI

.