Black Spot! Tazama historia ya ajali za barabarani katika daraja la Nithi

Zaidi ya watu 70 wamepoteza maisha katika ajali mbalimbali za barabarani zilizotokea katika daraja la Nithi tangu 2018.

Muhtasari

•Ajali ya hivi majuzi zaidi katika daraja la Nithi ilifanyika mnamo Agosti 31, 2024 na kuua watu kumi na wawili.

Image: WILLIAM WANYOIKE