Mary Moraa: Mfahamu zaidi bingwa wa dunia katika mbio za mita 600 kwa wanawake

Moraa alivunja rekodi ya dunia katika mbio za mita 600 mnamo Septemba 1, 2024.

Muhtasari

•Mwanariadha huyo mwenye umri wa miaka 24 alizaliwa katika kaunti ya Kisii. Kwa bahati mbaya, wazazi wake walikufa akiwa bado mtoto mchanga.

zaidi mwanariadha Mary Moraa.
Mfahamu zaidi mwanariadha Mary Moraa.
Image: ROSA MUMANYI