Bobi Wine: Mfahamu zaidi kiongozi wa Upinzani wa Uganda

Mwanasiasa na mwimbaji huyo anadaiwa kupigwa risasi mguuni mnamo Septemba 3, 2024.

Muhtasari

•Jeshi la Polisi la Uganda limekanusha madai ya kupigwa risasi kwa mwimbaji mkongwe na mwanasiasa wa upinzani Bobi Wine.

Mfahamu kiongozi wa Upinzani wa Uganda.
Bobi Wine: Mfahamu kiongozi wa Upinzani wa Uganda.
Image: HILLARY BETT