Mastaa waliolipia mabango kuonyesha upendo kwa wapenzi wao

Hata hivyo, Eric Omondi baada ya kuweka picha ya mpenziwe Chantel mwaka 2018 na Harmonize kuweka ya Kajala 2022, wawili hao waliachwa na wapenzi hao baadae.

Muhtasari

• Bahati, Eric Omondi na Harmopnize wote walilipia mabango makubwa barabarani na kuweka picha za wapenzi wao kuwaonyesha jinsi wanavyowathamini. 

mASTAA WALIOTUNDIKA PICHA ZA WAPENZI KWENYE BANGO BARABARANI
mASTAA WALIOTUNDIKA PICHA ZA WAPENZI KWENYE BANGO BARABARANI
Image: WILLIAM WANYOIKE