Wachezaji wenye umri mdogo katika vilabu vikubwa vya EPL

Wachezaji wadogo zaidi wanaowakilisha vilabu vikubwa nchini Uingereza msimu huu wana umri wa miaka 17.

Muhtasari

•Ethan Nwaneri wa Arsenal, Marc Guiu wa Chelsea, Harry Amass wa Man United na Rico Lewis wa Man City ni miongoni mwa wachezaji chipukizi wanaopigiwa upato kung'aa katika Ligi Kuu ya Uingereza msimu huu.

wenye umri mdogo katika vilabu vya EPL.
Wachezaji wenye umri mdogo katika vilabu vya EPL.
Image: WILLIAM WANYOIKE