Rebecca Cheptegei: Mfahamu mwanariadha wa Uganda aliyefariki baada ya kudaiwa kuchomwa na mpenziwe

Cheptegei alifariki katika hospitali ya Moi Teaching & Referral baada ya kudaiwa kushambuliwa na mpenziwe, Dickson Ndiema.

Muhtasari

•Marehemu alikuwa ameolewa katika nchi yake ya kuzaliwa ya Uganda na akapata watoto wawili kabla ya kuhamia nchini Kenya.

Mwanariadha aliyefariki
Rebecca Cheptegei: Mwanariadha aliyefariki
Image: HILLARY BETT