Kadi nyekundu na njano zilizotolewa kwenye EPL katika michuano 5 ya kwanza

Arsenal wanaongoza kwa utovu wa nidhamu wakiwa tayari wamekusanya kadi nyekundu mbili na kadi 15 za njano.

Muhtasari

•Arsenal, Everton, Newcastle, Nottingham na Southampton zimekuwa na wachezaji ambao walionyeshwa kadi nyekundu.

nyekundu na njano zilizotolewa kwenye EPL.
Kadi nyekundu na njano zilizotolewa kwenye EPL.
Image: HILLARY BETT