Mataifa ya Afrika ambako msanii Vybz Kartel anapanga kuzuru

Staa huyo wa dancehall kutoka Jamaica ametangaza ziara ya Afrika mwaka ujao.

Muhtasari

•Msanii huyo ambaye aliachiwa kutoka gerezani hivi majuzi amefichua nchi ambazo anapanga kuzuru kufuatia mialiko ya mashabiki.

•Kenya, Tanzania, Nigeria na Afrika Kusini ni miongoni mwa mataifa ambako Vybz Kartel amealikwa kutumbuiza.

ya Afrika ambako Vybz Kartel anapanga kuzuru.
Mataifa ya Afrika ambako Vybz Kartel anapanga kuzuru.
Image: WILLIAM WANYOIKE