Fahamu hatua za kufuatwa katika kufanikisha mchakato wa kumbandua naibu rais ofisini

Mchakato huo huanzia katika bunge la kitaifa na mbunge anayewasilisha sharti awe amepata saini kutoka kwa wabunge 117.

Muhtasari

• Baada ya hoja hiyo kufikishwa bungeni na kupigiwa kura na angalau wabunge 233, spika anapaswa kumwandikia mwenzake wa seneti ndani ya siku 2.

• Baadae seneti inafanya kazi kama mahakama huku bunge la kitaifa likisimama kama mwendesha mashtaka katika kesi hiyo.

MUONGOZO WA KUMBANDUA NAIBU A RAIS MAMLAKANI.
MUONGOZO WA KUMBANDUA NAIBU A RAIS MAMLAKANI.
Image: WILLIAM WANYOIKE