Majina ya pombe za kiasili na kitamaduni katika jamii mbalimbali Kenya

Seneta maalum Raphael Chimera amedokeza kuanzisha mchakato wa kuandaa mswada wa kuhalalisha pombe za kiasili na kuuwasilisha bungeni.