Tazama maelezo ya wanafunzi 21 wa Hillside Endarasha waliofariki kwenye mkasa wa moto

Mwanafunzi mdogo zaidi alikuwa na umri wa miaka 11 ilhali mkubwa zaidi alikuwa na umri wa miaka 14.

Muhtasari

•Ibada ya ukumbusho ya kuwakumbuka wanafunzi 21 wa shule ya Hillside Endarasha ilifanyika mnamo Septemba 26, 2024.

ya wanafunzi 21 wa Hillside Endarasha waliofariki
Maelezo ya wanafunzi 21 wa Hillside Endarasha waliofariki
Image: ROSA MUMANYI