Watu maarufu ambao Mbunge Peter Salasya amechokozana nao mitandaoni

Katika kipindi cha wiki moja iliyopita, Mbunge huyo amekuwa akitupiana maneno mtandaoni na Huddah Monroe na Andrew Kibe.

Muhtasari

• Kukosana na Kibe kunakuja siku chache baada ya kumuomba msamaha akisema Kibe ni kama ndugu yake mkubwa.

WATU AMBAO PETER SALASYA ALIKOROFISHANA NAO
WATU AMBAO PETER SALASYA ALIKOROFISHANA NAO
Image: william wanyoike