Collins Jumaisi: Tazama matukio muhimu katika kesi dhidi ya mshukiwa wa mauaji ya Kware

Idara ya Upelelezi wa makosa ya Jinai imetangaza zawadi ya pesa kwa atakayesaidia katika kukamatwa tena kwa mshukiwa.

Muhtasari

•Mshukiwa ambaye alitoroka kutoka mikononi mwa polisi mnamo Agosti 20 alipangwa kujibu mashtaka  ya mauaji Ijumaa, Agosti 23.

Mshukiwa wa mauaji ya Kwale.
Collins Jumaisi: Mshukiwa wa mauaji ya Kwale.
Image: WILLIAM WANYOIKE