Morara Kebaso ni nani?- Mfahamu zaidi wakili anayefichua miradi ya serikali iliyokwama

Wakili huyo amedai kuwa rais William Ruto alimpigia ili kumpa kazi serikalini, lakini akakataa.

Muhtasari

•Mhitimu huyo wa Chuo Kikuu cha Kenyatta amekuwa akizunguka nchi nzima akifichua miradi ya serikali iliyofeli na iliyokwama.

ni nani?
Morara Kebaso ni nani?
Image: WILLIAM WANYOIKE