Tazama wasifu wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki

Baadhi ya wanasiasa wanamtaka Kindiki achukue nafasi ya Naibu Rais wa Kenya.

Muhtasari

•Kindiki amepigiwa upato kuwa naibu rais iwapo Rigathi Gachagua atabanduliwa kama jinsi baadhi ya wanasiasa wametishia.

wa Waziri wa Mambo ya ndani Kithure Kindiki
Wasifu wa Waziri wa Mambo ya ndani Kithure Kindiki
Image: ROSA MUMANYI