Wafahamu Watumishi wa Mungu Wakenya wanaoishi maisha ya Kifahari

Baadhi ya wahubiri wanamiliki magari makubwa, mapambo bei ghali na wanaishi katika nyumba za kifahari.

Muhtasari

•Kando na kusambaza neno la Mungu, baadhi ya wahubiri wa Kenya pia wanapendelea kuishi maisha mazuri na ya kifahari. 

Wahubiri Wakenya wanaoishi maisha ya Kifahari
Image: ROSA