Video - AU yamtaka Putin kuondoka Ukraine

Muhtasari

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres anatoa wito kwa Rais Vladimir Putin "kwa jina la ubinadamu" kuwarejesha wanajeshi wake "kurudi Urusi" na kutoruhusu kuanza kwa "vita ambavyo vinaweza kuwa mbaya zaidi tangu mwanzo wa karne".