Video - Mzozo wa Ukraine

Muhtasari

• Wazima moto na wakaazi wako kwenye eneo la majengo yaliyoshambuliwa kwa makombora huko Chuguev, Ukraine, wakati Rais wa Urusi Vladimir Putin akizindua operesheni ya kijeshi nchini Ukraine huku milipuko ikisikika kote nchini.