Mahakama yasitisha chanjo ya Covid kwa watoto shuleni

Muhtasari
  • Shule, Makanisa na misikiti pia imezuiwa kudai chanjo ya watoto na watu walio chini ya umri wa miaka 18 
Image: Reuters

Mahakama Kuu imepiga marufuku serikali kutoa chanjo za Covid-19 kwa watoto kote nchini.

Jaji Antony Mrima ametoa maagizo ya kupiga marufuku wizara ya Afya kutoa chanjo zozote za Covid-19 kwa watoto shuleni kote nchini Kenya.

Shule, Makanisa na misikiti pia imezuiwa kudai chanjo ya watoto na watu walio chini ya umri wa miaka 18 hadi kesi hiyo itakaposikilizwa na kuamuliwa.

Mengi yafuata;