- Orodha ya wanawake mashuhuri wa jamii ya luhya ambao ni warembo kupindukia
- KUlingana na mashabiki wanawake hao ni warembo kwa njia moja au nyingine
Sijakataa kwamba kunao ambao ni warembo zaidi kuwwalio lakini kulingana na utafiti wanawake hawa wa jamii ya Luhya ni warembo, si urembo tu bali wanaurembo wa kipekee.
Kulingana na wanamitandao wengi wao ni warembo, kwa njia moja au nyingine.
Hii hapa orodha ya wanawake ambao ni warembo na wana urembo wa kipekee kulingana na asilimia kubwa ya wanamitandao;
1.Azziad Nasenya
Ni mwanamke mwenye maadili yake, Azziad alifahamika sana wakati alifanya 'challenge' yaa kibao cha 'Utawezana huku akiwavutia wengi kwa urembo wake.
Baada ya yake kuvuma hakukomea hapo bali alizidi kufanya kazi yake na hata kuwa muigizaji, mashabiki wengi husema kwamba Azzad ni mrembbo sana haswa akiwa na tabasamu yake.
2.Gloria Muliro
Ni msanii wa nyimbo za injili ambaye ni mrembo kupindukia licha ya yake kupitia changamoto nyingi katika maisha yake.
3.Awinja
Nani hamfahamu muigizaji wa kipindi cha papa shirandula? bali na kuigiza kwake akiwa hana vipondozi na mavazi mema kando na uigizaji wake Awinja ana urembo wa kipekee ambao huwakosesha wengi usingizi.
4.Yvonne Okwara
Mwanahabari wa runinga ya citizen hivi majuzi ameweza kuonyesha kwamba ana urembo ambao unawakosesha wanaume wengi usingizi licha ya yake kuwa na mume.
Miongoni mwa wanawake wengine ni pamoja na Mary Kilobi, Vera Sidika miongoni mwa wengine.