(+Picha) Wanawake wakenya mashuhuri wa kiislamu ambao hawavalii hijabu

Muhtasari
  • Wanawake wakenya mashuhuri ambao ni waislamu na hawavalii hijabu
Amina Mude
Amina Mude

Katika kila tamaduni za dini lazima kuwe na kanuni za kufuata kila wakati, katika dini ya waislamu kila mwanamke anapaswa kuvalia hijbu hasa wakati anaenda kuomba sala.

Mazoea haya, inaaminika kuwa nguzo muhimu katika kupambana na uzinzi kati ya wanawake na wanaume, ikisema kuwa dhambi ya kwanza ni wakati mwanamume anapenda sura ya mwanamke.

Kwa hivyo hijabu hutumiwa kuficha kichwa na kwa sehemu kufunika uso kama njia ya kuhifadhi mwanamke kutoka kwa wanaume ambao hawawezi kujidhibiti juu ya wanawake.

Nchini Kenya, idadi kubwa ya wanawake wa Kiislamu wanakubali utamaduni wa Hijabu, lakini wao ni idadi yao ambao hawazingatii sheria hiyo kila wakati.

Kuna baadhi ya wanawke ambao hatujawahi waona wakivalia hijabu licha wao kuwa wanawake wa kiislamu.

Hizi hapa baadhi ya picha na orodha ya wanawake hai;

1.Amina Mude

Amina MUde
Amina MUde

Licha ya Amina Mude kuwa mwanamke wa kiislamu ameolewa na mkristo Ben Kitili, ni ngumu sana kumuona akiwa amebalia hijab

2.Amina Abdi Rabar

Anafahamika sana kwa kazi yake ya utangazaji.

3.Yasmin Saiedi

Yasmeen almaarufu Maria alifahamika kupitia uigizaji wake katika kipindi cha Maria.

4.Sara Hassan

Sara ni muigizaji ambaye alifahamika sana kupitia katika kipindi cha Tahidi High mwaka wa 2008.